Sunday, July 28, 2013

kwa kuwazaa wamekuwa mastaa

hebu leo tuwaangalie wamama ambao wamepata umaarufu kwa kupitia watoto wao waliowazaa
wao hawajafanya kitu chochote ila kwa kuwa wamezaa watoto wao ambao ni mastaa na wao wamekuwa mastaa sasa
             soooooooooooo wanawake chondechonde msiwatupe watoto wenu hamuwezi jua kesho watakuwa kina nani na pia watawafanyia nini
huyo ni mama sepetu akiwa na bint yake wema
               hebu tuwacheki wamama hawa wanaojivunia kwa kuwazaa na kuwalea watoto wao na wapo ambao walitelekezwa na wanaume but waliwalea watoto wao na leo hii wanakula matunda
huyo ni mama Diamond akiwa na mwanae

No comments:

Post a Comment