mchezaji nyota mstaafu wa England wa David Beckam ameanzisha kipindi chake kitakachoamsha ari kwa watoto kupenda mpira tangu wakiwa wadogo
kipindi hicho kitakachooneshwa JUMAMOSI ASUBUHI
Kipindi kinaitwa GAME CHANGERS
kitaoneshwa katika SKY SPORT
Haya jamani wabongo bado muda tunao tunaweza tukaanzisha nasisi
No comments:
Post a Comment