Thursday, July 18, 2013

North West aleta kasheshe


baada ya Kim na Kanye kupata mtoto wao wa kike
wadau wakawa na hamu ya kumuona ATAFANANA na nanani?
cha ajabu mpaka sasa yapata miwezi miwili bado hakuna mtu
anaeijua sura ya binti huyo ikoje kiasi cha watu kutupa macomments kuonesha hasira zao juu ya hicho kitendo cha Diva huyo kumficha mtoto  na ukizingatia kuwa Kim ni mtu wa matv( queen of reality show)
 sasa wato wanahoji je huyo mtoto anamatatizo ya KIAFYA?
sasa kama tu huyu wa Kim miezi swali ni JE huyo ROYAL BABY anaesubiriwa kwa hamu itachukua muda gani kumuona?

No comments:

Post a Comment